Kuna utofauti kwenye aina ya usafiri, uko usafiri wa umma ambao kila mtu anajilipia na anasafiri na upo usafiri binafsi, ukiwa kwenye usafiri wako binafsi unaenjoy tu vizuri na kujiachia, lakini ukiwa kwenye usafiri wa watu wengi inabidi kidogo uwe mpole. Mtoto wa Bosi wa Shirika la ndege Korea amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja kwa...
The post Kisa cha story hii kilianzia binti huyu kupewa karanga kwenye mfuko ndani ya ndege… appeared first on TZA_MillardAyo.