Saa 24 zilizopita zimekuwa ngumu sana kwa mashabiki wa klabu ya Aston Villa ambao wameishuhudia timu yao ikianguka kwenye janga la kushuka daraja baada ya mfululizo wa matokeo mabaya. Kama hiyo haitoshi timu hiyo pia imemfukuza kocha wake na kwa muda wa siku nzima imekuwa ikihaha kuajiri kocha mpya ambaye ataiongoza klabu hiyo kwenye mchezo...
The post Ujumbe alioandika dogo wa miaka sita kumuomba Mourinho aiokoe Aston Villa… appeared first on TZA_MillardAyo.