Ijumaa ya February 06 kwenye Hekaheka ya leo msanii H Baba na mke wake ambaye ni muigizaji Flora Mvungi walikuwa wakipiga story, kati ya vitu ambavyo wamevizungumzia ni pamoja na ishu ya watu ambao wamekuwa wakifika nyumbani kwao kwa nyakati tofauti kwa lengo la kutaka kumchukua mtoto wao, Tanzanite. Flora amesema mwanzo walikuwa wanachukulia kama mzaha lakini hivi...
The post Hekaheka ya leo Feb 6, inawahusu wasanii Flora Mvungi na H Baba appeared first on TZA_MillardAyo.