Kama hukusikiliza Magazeti yakisomwa na kuchambuliwa hewani leo February 06, kupitia Power Breakfast ya Clouds FM yako hapa nimekurekodia unaweza kusikiliza. Miongoni mwa Habari kubwa kutoka kwenye Magazeti ya leo ni pamoja na ile inayosema baadhi ya vituo vya kuuza mafuta vimebainika kufanya mgomo baridi, Rais Jakaya Kikwete amemteua John Haule kuwa Balozi wa Tanzania nchini...
The post Nimekuwekea uchambuzi wa habari Hot za Magazeti ya leo Feb 6 kupitia #PowerBreakfast. appeared first on TZA_MillardAyo.