Mshambuliaji wa Nigeria Emmanuel Emenike hivi karibuni aliifungia klabu yake bao lake la kwanza ikiwa imepita miezi mitatu alipofunga mara ya mwisho katika ligi ya Uturuki ambako anchezea klabu ya Fenerbace. Emenike alifunga moja kati ya mabao mawili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya timu ya Karabuscorp na lilikuwa ni bao muhimu kwake kwani...
The post Mchezaji wa Nigeria afunga bao baada ya kufanyiwa tambiko . appeared first on TZA_MillardAyo.