Rapa maarufu na mmiliki wa Lebo ya Bad Boy Entertainment, Sean Combs maarufu kama P Diddy anasakwa na polisi kwa madai ya kumpiga shabiki mmoja katika hafla ya mchezo wa Super Bowl iliyofanyika nchini Marekani mwishoni mwa wiki iliyopita. Kwa mujibu wa mtandao kadhaa ikiwemo TMZ, mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya Steven Donaldson ambaye...
The post Ishu ya P Diddy kusakwa na Polisi, kesi yake ni ugomvi ndani ya club !! appeared first on TZA_MillardAyo.