Vitunguu Swaumu Moja kati ya vyakula vinavyomletea mlaji wake harufu kali ni vitunguu swaumu ambavyo huumika kama viungo kwenye chakula . Vitunguu swaumu vina vitu Fulani ndani yake amvayo hujitokeza pale kinapokatwa , kusagwa au hata kutafunwa vitu hivi kitaalamu hufahamika kama Allicin na Allin na hivi ndio hasa husababisha harufu kali ambayo hutokea baada...
The post Kutana na list ya vyakula ambavyo vinatoa harufu mwilini. appeared first on TZA_MillardAyo.