Mchezaji bora wa dunia Cristiano Ronaldo ameendelea kuwa maarufu duniani baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo ametimiza umri wa miaka 30 . Mchezaji huyo wa Real Madrid hivi karibuni huenda akajikuta akitumiwa katika elimu ya chuo kikuuu baada ya chuo cha British Columbia Okanagan kuanzisha kozi ambayo itakuwa na masomo yanayomhusu nyota huyu...
The post Kuna hii ya wanafunzi chuo Kikuu kuanza kusoma kuhusu staa Cristiano Ronaldo !! appeared first on TZA_MillardAyo.