Mazishi ya mnenguaji wa Twanga Pepeta, Aisha Madinda yaliyokuwa yafanyike leo yameahirishwa kutokana na mwili wake kuendelea kufanyiwa uchunguzi Hospitali na mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho baada ya uchunguzi huo kukamilika. Hizi ni baadhi ya picha kutoka nyumbani kwa Mama wa Marehemu ambapo shughuli zote zinazofanyika Kigamboni Dar es Salaam. Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari...
The post Picha 10 kutoka nyumbani kwa Mama wa Marehemu Aisha Madinda sehemu ulipo msiba appeared first on TZA_MillardAyo.