Wakati flani nilipoitembelea Afrika Kusini niliambiwa na mwenyeji wangu kwamba wizi wa magari unafanyika hata barabarani, unaweza ukawa umesimama kwenye mataa ukisubiri uruhusiwe lakini ghafla watakuja majambazi na silaha wanazuziba kwa mbele kisha wanachukua gari na kuondoka nalo. So inaelekea wizi wa magari unaweza kuwa ‘kipaji’ kwa hawa ndugu zetu wa Afrika Kusini manake kuna...
The post Ndio utajiuliza ilikuaje mpaka jamaa akaiba gari la Polisi kwenye mazingira haya. appeared first on TZA_MillardAyo.