Kama hukusikiliza 255 kuna story kadhaa ambapo Miss Info Dee Andy kama kawaida yake ameripoti info za kutosha kuhusu wakali kama Belle 9, Gosby, Dark Master, Chris Brown na wengine wengi. Kwa kuanzia Tz, msanii Belle 9 kuamua kufanya kitu tofauti na ilivyozoeleka, ambapo yeye aliamua kuwaachia kazi mashabiki wake waamue namna ambayo wangependa kuiona...
The post Kama 255 ya November 17 2014 on XXL CloudsFM ilikupita, nimekuwekea hapa appeared first on TZA_MillardAyo.