Baada ya kipindi chote hicho cha zaidi ya mwaka mmoja kutoonekana hadharani, Janet Jackson alionekana kwenye Vogue Fashion Dubai Experience Gala Ijumaa iliyopita huko Dubai akiwa na mume wake bilionea Wissam Al Mana. Janet mwenye umri wa miaka 48 amekua kimya kwenye muziki kwa miaka sita na sasa inasemekana kuna uwezekano mdogo wa yeye kurudi...
The post Baada ya zaidi ya siku 360, Janet Jackson ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza appeared first on TZA_MillardAyo.