Hii nimekutana nayo Youtube, jamaa ameamua kutumia njia hii kumfariji mke wake ambaye alikuwa anasubiri kujifungua. Mimi niliona kama kitu kigeni, hasa sana kwa mazingira ya hospitali. Hivi ikitokea mtu akafanya hivi kwa mazingira ya hospitali zetu jinsi zilivyo, naomba uniambie namna ambavyo unadhani manesi na madaktari watamfanya huyu jamaa ingekuwa ni hospitali za Kibongo…...
The post Angalia jamaa huyu alivyofanya vioja wakati mkewe akisubiri kujifungua appeared first on TZA_MillardAyo.