Baada ya Man United kupokea kipigo kutoka kwa Leicester City, miamba mingine ya ligi kuu ya Uingereza Chelsea ilijitupa uwanjani kucheza na Manchester City. Mchezo huo uliopigwa kwenye uwanja wa Etihad umeisha kwa matokeo ya sare 1-1. Dakika chache baada ya Pablo Zabaleta kutolewa kwa kadi nyekundu Chelsea walipata goli la kwanza kupitia mchezaji aliyetokea...
The post EPL: Matokeo ya Man City vs Chelsea haya hapa appeared first on TZA_MillardAyo.