Wiki moja baada ya kuifunga klabu bingwa ya Tanzania Bara Azam FC kwa magoli 3-0 kwenye mchezo wa ngao ya hisani, leo hii watoto wa Jangwani Dar Young Africans wamekutana na kisanga kizito kutoka kwa Mtibwa Sugar. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Manungu mjini Morogoro umeisha kwa Yanga kutandikwa 2-0 na vijana wa...
The post Kilichoikuta Yanga leo dhidi ya Mtibwa Sugar na matokeo yote ya VPL haya haya appeared first on TZA_MillardAyo.