Leo ni siku ya tatu tangu katibu wa Chadema mkoa wa Tabora kwa niaba ya wajumbe 78 wa baraza kuu na viongozi wengine wa mabaraza ya vijana na wanawake 4 na kufanya kuwa jumla ya wajumbe 82 kwa pamoja kuzungumzia maswala mbali mbali waliyosema yanatishia ustawi wa chadema leo wameenda kwa msajiri wa vyama pamoja...
The post Picha 35 za Wanachama wa Chadema walivyopeleka barua kwa Mkaguzi wa Hesabu za Serikali [CAG] na msajiri wa vyama vya siasa. appeared first on TZA_MillardAyo.