Dakika 18 za kusikiliza Magazeti yakisomwa June 25.
Sehemu nyingine ambayo inakufanya kusikiliza kiundani kile ambacho umekisoma kwenye kurasa mbalimbali za magazeti ni hiki,haki yako mtu wangu wa nguvu kukupatia chochote kinachonifikia iwe ni usiku au...
View ArticleLupita Nyong’o athibitisha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na rapa huyu.
Lupita amezidi kuchukua headlines za vyombo mbalimbali vya habari tangu afanikiwe kuchukua tuzo za Oscar na kutajwa kama mwanamke mrembo zaidi duniani, sasa amethibitisha kuhusu upande wake wa...
View ArticleLibya imeingia kwenye uchaguzi mpya kumaliza vurugu.
Raia wa Libya wamepiga kura hii leo katika uchaguzi wa kuchagua bunge jipya ambao ni muhimu kwa mustakabali wa nchi hiyo iliyokumbwa na machafuko kwa miezi kadhaa. Kuna matumaini kuwa bunge jipya...
View ArticleTaarifa mpya ya Luis Suarez, hii ndio adhabu atakayopata akikutwa na hatia ya...
Mchezaji wa Uruguay Luis Suarez atakabiliwa na adhabu ya kufungiwa kwa muda mrefu kucheza mechi zikiwemo za Kombe la dunia ikiwa atakutwa na hatia ya kumng’ata mchezaji mwenzake wa Italia Giorgio...
View ArticleSikiliza Msichana mwingine aliyefanyiwa ukatili na bosi wake.
Idara ya Hekaheka bado imeendelea na matukio ambayo yamekua yakiripotiwa kila siku kuhusu unyanyasaji wa wasichana wa kazi na watoto,sasa huko Kijitonyama kuna msichana alikua ananyanyaswa na bosi wake...
View ArticleUnaambiwa Linex kakimbia studio,kisa ni hiki.
Kutoka Kigoma All Stars Linex leo ameingia kwenye headline baada ya kusemekana kuwa alirekodi wimbo ambao hadi leo hajaulipia aliouimba kwa ajili ya harusi Miraji Kikwete mtoto wa Rais Jakaya...
View ArticleMiaka 10 ya Mfalme wa Rhymes na miaka 15 ya Afande Sele,sikiliza wimbo maalum...
Afande Sele ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania ambao wako kwenye list ya wasanii wanaotimiza miaka 15 ya muziki wao,katika miaka hii 15 Afande Sele ameamua kufanya party ambayo itakua maalum kwa ajili...
View ArticlePicha 35 za Wanachama wa Chadema walivyopeleka barua kwa Mkaguzi wa Hesabu za...
Leo ni siku ya tatu tangu katibu wa Chadema mkoa wa Tabora kwa niaba ya wajumbe 78 wa baraza kuu na viongozi wengine wa mabaraza ya vijana na wanawake 4 na kufanya kuwa jumla ya wajumbe 82 kwa pamoja...
View ArticlePicha ya kwanza kutoka kwenye video ya mdogomdogo ya Diamond.
Hii ni picha ya kwanza kutoka kwenye video ya mdogomdogo ya Diamond..unapata picha gani juu ya hii video? Nipe comment zako hapo chini. The post Picha ya kwanza kutoka kwenye video ya mdogomdogo ya...
View ArticleBaada ya kumng’ata mchezaji, Suarez atolewa nje ya kombe la dunia.
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uruguay Luis Suarez amefungiwa mechi tisa na shirikisho la kandanda duniani Fifa baada ya kupatikana na hatia ya kumng’ta mlinzi wa timu ya Italia Giorgio Chiellini...
View ArticleMovie mpya ya Transfomers inatoka weekend hii, cheki ratiba yake na nyingine...
Wapenzi wa movie za Transfomers weekend hii ni yenu kwasababu Transformers Age of Extinction inaanza kuonekana kwenye theater za hapa Tanzania. Kama bado haujacheki trailer yake angalia hapa na...
View ArticleStori 10 za AMPLIFAYA June 26 2014
Amplifaya ni show inayosikika Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia CloudsFM kuanzia saa moja usiku mpaka saa tatu ikiwa na mkusanyiko wa stori kumi kubwa za siku za siasa, muziki, michezo na mengine....
View ArticleFull Time ya Portugal vs Ghana June26, ball possession na mengine
Kwa mara nyingine tena Afrika ilipeleka macho yake kwenye mechi hii ya June 26 2014 iliyoihusisha timu ya Afrika ambayo ni Ghana ambapo Portugal waliandikiwa goli la kwanza baada ya mchezaji wa Ghana...
View ArticleImetoka ripoti ya Marais wanaoongoza kwenye twitter Afrika! anaejibu tweets...
Rais wa Kenya uhuru Kenyatta ndio Rais anayejishughulisha zaidi kwenye mtandao wa Twitter barani Afrika akiwa amempiku Rais wa Rwanda Paul Kagame na mwenzake wa Afrika Kusini Jacob Zuma. Kenyatta...
View ArticleWachezaji wawili wa Ghana waliotimuliwa Brazil.
Ni taarifa ambazo zimetokea nchini Brazil ambako kombe la dunia linaendelea huku timu za Afrika zikiwa kwenye headlines ikiwemo Ghana ambayo imepigwa 2-1 na Portugal June 26 2014. Taarifa ikufikie...
View ArticleWalichofanya @AyTanzania na @FarajaNyalandu kwenye hii video ya dakika 3.
Siku ya mtoto Afrika 2014 ndio msanii Ay na aliyewahi kuwa Miss Tanzania Faraja Nyalandu walitangazwa kuwa mabalozi wa UNICEF ambao wataweka nguvu zao kwenye vita dhidi ya ubakaji/unyanyasaji kwa...
View ArticleBrothers and sisters hii ni kutoka Born to Shine!! @Bdozen
Kutoka born to shine… clothing line inayomilikiwa na mtangazaji wa Clouds FM B Dozen ambae pia ni mfanyabiashara anaemiliki duka la Born to shine lililopo Mwenye mkabala na ofisi za TRA. Kwa longtime...
View ArticleBaada ya P Square ft Akon na Rick Ross, huyu ndio anaefata! picha 9 wakifanya...
Walianza kuchukua headlines za kolabo za kimataifa baada ya kushirikiana na Akon pamoja na Rick Ross ila time hii anaefata ni trouble man T.I wa Marekani. Wakiwa wanaifanyia kazi album yao ya sita, P...
View ArticleFull Time ya USA vs Germany, South Korea vs Belgium na Algeria vs Russia.
Game ya Algeria vs Russia imeisha kwa matokeo kuwa 1-1 na kuwafanya Algeria washangilie kwa furaha kubwa ya kuendelea na safari ya kombe la dunia. Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu...
View ArticleWatu wangu mnaopenda kuvuta Shisha, hizi zimepigwa marufuku Kenya
Imekua ni kawaida sasa hivi kwenda kwenye sehemu mbalimbali za starehe na kukutana na huduma ya uvutaji wa Shisha (sheesha) ambayo hutolewa kwa malipo. Pamoja na kwamba wengi wameamini haina madhara,...
View Article