Unaambiwa mastaa hawa walisherehekea miaka yao sita ya ndoa huko Dominican Republic wakiwa na mtoto wao Blue Ivy, kwenye nchi hii ambayo lugha inayotumika ni Kihispania na wanasifika kwa utalii pamoja na kilimo cha Sugarcane, coffee, cotton, cacao; cattle. Use Facebook to Comment on this Post
The post Kwa mnaopenda za Jay Z na Beyonce, hizi ni picha zao 6 za sherehe za miaka 6 ya ndoa appeared first on TZA.