Hii imemtokea Mr Mtunisi wa Bongo Movie baada ya kusemekana aliigeuza Gari yake ya binafsi na kuifanya ya abiria sasa tatizo limemtokea baada ya kusemekana alimpakia dada ambaye aligoma kulipa nauli aliyoipanga Mr Mtunisi. 96.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tanga. Bonyeza play kusikiliza. Use Facebook to Comment on this Post
The post Sikiliza You heard ya leo inayomhusu Mtunisi wa Bongo Movie. appeared first on TZA.