Licha ya Chris Brown kuwa jela akitumikia kifungo chake cha mwezi mmoja kazi zake za kimuziki bado zinaendelea ambapo imedondoshwa video yake mpya kutoka kwenye album yake ‘X’ ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu. Hii single inaitwa ‘Loyal’ ambapo yupo na Lil Wayne na Tyga. Use Facebook to Comment on this Post
The post Wale wa Chris Brown hii ni video yake mpya akiwa na Lil Wayne na Tyga. appeared first on TZA.