Ni mchekeshaji wa TV ambae hautaishia kucheka ukimtazama kwenye TV bali hata mtandaoni, ni miongoni mwa mastaa wa bongo wenye followers wengi mitandaoni nchini Tanzania. Unacho cha kuongezea kwenye hizi point za Masanja Mkandamizaji? Use Facebook to Comment on this Post
The post Masanja Mkandamizaji kuhusu wife/husband material, UDOM, Arsenal na Mbunge mgonjwa. appeared first on TZA.