Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Video ya wimbo wa staa Mnigeria alieupa jina la maneno ya Kiswahili.

$
0
0

Kcee ni staa kutoka Nigeria ambae amekua akipata airtime hata kwenye vituo vya Tanzania na single zake kama ‘Limpopo’ pia single nyingine aliyofanya na Wizkid ya ‘pull over’ Hii ni single yake mpya ambayo haina hata wiki tatu toka itoke na ametumia maneno ya Kiswahili ‘hakuna matata’ kwenye chorus na jina la wimbo wenyewe ambao...

The post Video ya wimbo wa staa Mnigeria alieupa jina la maneno ya Kiswahili. appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles