Magazetini leo March 18 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania. Use Facebook to Comment on this Post The post Magazetini leo March 18...
View ArticleUmesikia kilichomkuta Belle Nine Mafinga?sikiliza hapa.
Kupitia You heard ya leo March 18 Soud Brown ana-amplify taarifa za kuwekwa mahabusu Belle Nine kisa kikiwa ni kuchukua pesa za show kisha kutotokea kwenye show hiyo ambayo ilikuwa ifanyike Mafinga...
View ArticleIjue hukumu aliyopewa Kanye West baada ya kumshabulia paparazi
Mwaka 2013 kwenye airport ya LAX Kanye West alihusishwa na fujo ambapo alimshambulia paparazi mmoja aliyekuwa akijaribu kumpiga picha Kanye West. Fujo hizi zilinaswa kwenye camera mbalimbali za...
View ArticleHii ndio timu mpya atakayoifundisha Villa-Boas baada ya kuondoka Tottenham
Kocha wa kireno aliyewahi kuvifundisha vilabu vya Porto, Chelsea, na Tottenham  Andre Villas-Boas amethibtishwa kuwa kocha wa Zenit St Petersburg  akimrithi kocha Luciano Spalletti. Kocha wa kiitaliano...
View ArticleTazama mkutano wa Drogba na waandishi wa habari kuelekea mechi ya leo usiku...
Kuelekea mchezo wa raundi ya pili wa hatua ya 16 bora ya kombe la klabu bingwa ya ulaya kati ya Chelsea vs Galatasary, nimekuletea video ya mkutano wa Didier Drogba na waandishi wa habari, unaweza...
View ArticleHii ndio biashara mpya anayoifungua Shilole kwa sasa.
Hit maker wa Nakomaa na Jiji Shilole ame-amplify taarifa za kuhusu kufungua mgahawa wake ambao ameupa jina la wimbo wake mpya uitwao Chuna buzi cafe anatarajia kufungua mgahawa wake wa chakula maeneo...
View ArticleUnaambiwa hii ndio kadi nyekundu iliyotolewa mapema zaidi Amerika ya kusini
 Unaambiwa sekunde ya 24 tu baada ya mchezo kuanza refa wa kimexico Marco RodrÃguez aliitumia kadi yake nyekundu kwa kumtoa mchezaji nje ya uwanja. Historia iliandikwa wiki iliyopita katika mchezo wa...
View ArticleList ya makocha na wachezaji wa soka wanaolipwa vizuri duniani. Messi vs...
Jarida linaloheshimika kwa kiasi katika ulimwengu wa soka duniani ‘France Football’ leo hii limechapisha listi ya wachezaji na makocha 20 wanaolipwa fedha nyingi ndani ya msimu mmoja. Mapato ya...
View ArticleMsikilize Mbwiga leo March 18.
Huu ni udambwi wa Mbwiga wa Mbwiguke leo March 18,leo kaizungumzia timu ya Pamba Fc ya 88.1 Mwanza. Bonyeza play kusikiliza Use Facebook to Comment on this Post The post Msikilize Mbwiga leo March 18....
View ArticleHabari 10 za Amplifaya March 18 2014
Amplifaya ni show ambayo inasikika kupitia Clouds FM Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku ikihusika kutoa stori zote kumi kubwa za siku za siasa, muziki, michezo, movies, maisha na ishu...
View ArticleMatokeo ya Chelsea vs Galatasaray na Real Madrid vs Schalke March 18 2014
Kama unataka kuwa karibu na stori kama hizi kaa karibu yangu mtu wangu kupitia twitter @millardayo pia facebook na instagram kwa jina hilohilo. Use Facebook to Comment on this Post The post Matokeo ya...
View ArticleVideo ya wimbo wa staa Mnigeria alieupa jina la maneno ya Kiswahili.
Kcee ni staa kutoka Nigeria ambae amekua akipata airtime hata kwenye vituo vya Tanzania na single zake kama ‘Limpopo’ pia single nyingine aliyofanya na Wizkid ya ‘pull over’ Hii ni single yake mpya...
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo March 19 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania. Use Facebook to Comment on this Post The post Kurasa za mwanzo na mwisho...
View ArticleKuhusu Robben kuongeza mkataba mpya na Bayern.
Winga wa kimataifa wa Uholanzi anayekipiga Bayern Munich Arjen Robben ameongeza mkataba wake kwa miaka miwili ambapo hii imethibitishwa na klabu yenyewe. Robben ambae alihamia Munich akitokea Real...
View ArticleYaliyojiri katika kesi ya Oscar Pistorius kumuua mpenzi wake
Mtaalamu wa mabomu aliyetoa ushahidi katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius, alisema kuwa mwanariadha huyo hakuwa amevaa miguu yake bandia alipompiga risasi mpenzi wake Reeva Steenkamp nchini Afrika...
View ArticleQatar wakanusha kununua nafasi ya kuandaa kombe la dunia 2022
Kamati ya maandalizi ya michuano ya Kombe la dunia nchini Qatar mwaka 2022 imetetea Uhalali wa mkataba wake wa kuandaa michuano ya kombe la dunia baada ya Gazeti moja kudai kuwa lina mashaka na...
View ArticleHiki ndio kiasi cha pesa za serikali Jacob Zuma ametumia kukarabati mjengo wake
Ripoti iliyosubiriwa kwa hamu kuhusu ufisadi nchini Afrika Kusini, imemkosoa vikali Rais Jacob Zuma kwa kujinufaisha na pesa zilizotumiwa kuikarabati nyumba yake binfasi katika mkoa wa Kwazulu Natal....
View ArticleRipoti na matokeo ya mechi ya Yanga vs Azam hii hapa
Vilabu vya Yanga na Azam vimetoka sare ya 1-1 katika mchezo uliomalizika hivi punde katika dimba la uwanja wa taifa. Yanga ndio walioanza kuliona lango la Azam FC baada ya Didier Kavumbagu kuifungia...
View ArticleTazama Yanga walivyokosa penati vs Azam FC March 19 2014
Ni game ambayo mwisho wa mchezo iliishia 1-1 Uwanja wa taifa Dar es salaam March 19 2014 ikiwa ni ligi kuu ya Vodacom ambapo kwenye page ya Youtube ya Vodacom Tanzania ndio kumewekwa hii video. Use...
View ArticleMsikilize Mbwiga leo March 19.
Huu ni mtekenyo wa Mbwiga leo March 19 kama kawaida anachozungumzia ni stori za kimichezo ambazo huwa ni zile mechi zilizochezwa kipindi cha nyuma,na leo katoa historia ya Kagera Rangers. 104.4 Clouds...
View Article