Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461
↧

Hii ndio biashara mpya anayoifungua Shilole kwa sasa.

$
0
0

Hit maker wa Nakomaa na Jiji Shilole ame-amplify taarifa za kuhusu kufungua mgahawa wake ambao ameupa jina la wimbo wake mpya uitwao  Chuna buzi cafe anatarajia kufungua mgahawa wake wa chakula maeneo ya nyumbani kwao Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Akizungumza na 255 ya Clouds Fm Shilole ameelezea kwa kuwa ana taaluma ya Hotel Management...

The post Hii ndio biashara mpya anayoifungua Shilole kwa sasa. appeared first on TZA.

↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles