Taarifa ambazo zimethibitishwa na tovuti ya Yanga kuhusu kunusurika ajali bus walilokuwa wakisafiria kutoka Morogoro kurudi Dar baada ya kumalizika kwa mchezo kati yao na Mtibwa Sugar ya Manungu Morogoro mechi ambayo ilimalizika kwa suluhu ya 0-0. Wakati wanarudi asubuhi ya leo Bus la timu yao ambayo lilikuwa limebeba wachezaji pamoja na viongozi wa benchi...
The post Picha 7 za Bus ya Yanga lililopata ajali asubuhi ya leo March 16. appeared first on TZA.