Ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Barclays Premier league imeendelea leo tena mchana kwa mechi 7 kupigwa katika viwanja tofauti nchini na matokeo yapo kama yafuatavyo. Fulham 1-0 Newcastle Everton 2-1 Cardiff Southampton 4-2 Norwich Stoke 3-1 West Ham Swansea 1-2 West Brom Sunderland 0-0 Crystal Palace Use Facebook to Comment on this Post
The post Matokeo ya Ligi kuu ya Uingereza, Man City, Swansea, Southmpton, Newcastle appeared first on TZA.