Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all 31461 articles
Browse latest View live

Video: Mpenzi mpya wa Shamsa Ford alivyojitambulisha kwenye Birthday Party.

$
0
0

DEWRRR

Usiku wa July 31, 2016 Msanii kutoka kiwanda cha bongo movie Shamsa Ford alifanya Birthday Party yake kwenye ukumbi wa Bilicanas Dar es salaam, Birthday Party hiyo iliyohudhuriwa na mashabiki na kumtambulisha mpenzi wake mpya kwenye tukio la kulishana keki, Mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa mkali huyu ataziona. ULIIKOSA HAYA MAJIBU YA SHAMSA […]

The post Video: Mpenzi mpya wa Shamsa Ford alivyojitambulisha kwenye Birthday Party. appeared first on millardayo.com.


VIDEO: Sababu za Mrema kuamua kwenda kumuona Rais Magufuli

$
0
0

piiii

August 1 2016 Mwenyekiti wa bodi ya mahakama Tanzania Parole, Augustino Mrema alikutana na umoja wa madereva bodaboda Dar es salaam lengo likiwa ni kujua changamoto zao katika kazi ikiwa ni pamoja na kukamatwa mara kwa mara na Askari  Polisikisha kupakaziwa kesi. Baada ya kuzipata kero hizo, Mrema amewahakikishia ushirikiano wa kutosha ikiwa ni pamoja […]

The post VIDEO: Sababu za Mrema kuamua kwenda kumuona Rais Magufuli appeared first on millardayo.com.

Rais Magufuli akamilisha ziara yake, atoa onyo kwa walimu

$
0
0

mahtete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe amekamilisha ziara ya siku nne Singida, Tabora, Shinyanga na Geita ambapo amefanya mkutano wa hadhara katika uwanja wa Mnadani na kuwajumuisha wananchi wa Katoro na Buseresere mkoani Geita. akizungumza katika mkutano huo Rais Magufuli amewaagiza viongozi wote kuanzia ngazi ya Mkoa hadi Kitongoji hapa nchini kufuatilia matumizi […]

The post Rais Magufuli akamilisha ziara yake, atoa onyo kwa walimu appeared first on millardayo.com.

VIDEO & PICHA 12 : Mabasi yenye muonekano kama nyumba kwa ndani

$
0
0

bs

Ni kazi yangu  kukusogezea stori za mambo mbalimbali ambayo unatakiwa ufahamu mtu wangu, Leo August 1 2016 nakusogezea mabasi haya yenye muonekano kama wa nyumba kwa ndani, mabasi haya yanatumika nchi kama Marekani na Malaysia pia ndani ya bara la Ulaya. Unaweza kutazama Video na Picha za mabasi haya na wewe ujionee, pia usisahau kuniachia comment yako. ULIKOSA KUIONA VIDEO […]

The post VIDEO & PICHA 12 : Mabasi yenye muonekano kama nyumba kwa ndani appeared first on millardayo.com.

Habari 10 kubwa kwenye TV za Tanzania August 1 2016

$
0
0

20160801_200515

Habari zote zilizopewa airtime kwenye TV za Tanzania unazipata hapa mtu wangu Kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya August 1 2016 usijali millardayo.com inakupa fursa ya kuziangalia Habari tano kubwa kupitia TV za Tanzania. Habari kutoka Cahennel 10:  Agizo Wananchi Wapewe Maghala Geita ‘Zisizidi wiki tatu waje watu wa NEMC Waziri anayehusika mpange mikakati […]

The post Habari 10 kubwa kwenye TV za Tanzania August 1 2016 appeared first on millardayo.com.

VIDEO & PICHA 9: Ndege kubwa itakayotengezwa na kuanza kutumika 2030

$
0
0

ndegegege

Mtu wangu Kama wewe ni mpenzi wa kutumia usafiri wa anga basi leo August 1 2016 nakusogezea ndege yenye jina AWWA-QG ambayo imetajwa na vituo vikubwa vya habari CNN na Daily Mail, Ndege hii ime dizainiwa na Oscar Viñals dizaina mkubwa kutoka nchini Hispania mjini Barcelona. Ndege hii itakayo kuwa na uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 800 pia yenye […]

The post VIDEO & PICHA 9: Ndege kubwa itakayotengezwa na kuanza kutumika 2030 appeared first on millardayo.com.

Sauti Sol hawatomuimba Rais Magufuli sema kuna kitu wamemkubali

$
0
0

Screen Shot 2016-08-02 at 1.16.47 AM

Sauti Sol ni kundi la waimbaji wakali wa muziki wa kizazi kipya kutokea Kenya, ngoma zao zilianza kuwashika Watanzania toka kitambo mpaka sasa na moja ya ngoma zao zilizolia sana Tanzania ni ‘sura yako’ Pamoja na kwamba wanadili sana na muziki haimaanishi kwamba hawafatilii siasa, wameanza kuzifatilia siasa za Tanzania kwa ukaribu zaidi baada ya […]

The post Sauti Sol hawatomuimba Rais Magufuli sema kuna kitu wamemkubali appeared first on millardayo.com.

Nay wa Mitego ndio kamalizana na BASATA? sikia alichosema

$
0
0

Screen Shot 2016-08-02 at 1.33.28 AM

July 16, 2016 Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) lilitoa tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego uitwao ‘pale kati‘ kwa kigezo cha kutokuwa wa madili lakini pia BASATA walitangaza kumfungia Nay kutoshiriki kazi yoyote ya kisanii. Sasa Agosti 2, 2016 staa huyo amepatikana kwenye Exclusive ya millardayo.com na AyoTV kayaongea […]

The post Nay wa Mitego ndio kamalizana na BASATA? sikia alichosema appeared first on millardayo.com.


Patoranking kajibu kwanini hakuna msanii wa Afrika Mashariki kwenye album yake

VIDEO: Sheria inavyowagonganisha JPM, CHADEMA, Lema amvaa DC Arusha mbele ya Waziri

AUDIO: Ukimuuliza Waziri Muhongo unahamia lini Dodoma atakujibu hivi…..

$
0
0

Sospeter-Muhongo

Rais Dk. John Magufuli wakati akikabidhiwa kijiti cha Uenyekiti wa chama cha mapinduzi ‘CCM’ na aliyekua Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete katika baadhi  ya mambo ambayo aliongelea ni kuhusu kuhamishia Serikali Dodoma kabla ya awamu hii haijaisha. Baada ya ahadi hiyo, siku ya Mashujaa iliyofanyika Dodoma, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa naye alisisitiza kuwa ifikapo mwezi september […]

The post AUDIO: Ukimuuliza Waziri Muhongo unahamia lini Dodoma atakujibu hivi….. appeared first on millardayo.com.

Ulaji Chips watajwa kuwa hatari, wataalamu waeleza athari zake

$
0
0

chipusi

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine. Moja ya kati ya yalioandikwa ni huu utafiti kwenye gazeti la Mtanzania wenye kichwa ‘Chips chakula hatari’. #MTANZANIA Ulaji chipsi watajwa kusababisha […]

The post Ulaji Chips watajwa kuwa hatari, wataalamu waeleza athari zake appeared first on millardayo.com.

VIDEO: Mchekeshaji Erick Omondi kairudia ‘Aje’ ya Alikiba na kuifanyia hii video

DONE DEAL: Pep Guardiola kasajili staa mpya Man City

$
0
0

Leroy-Sane

Bado headlines za usajili barani Ulaya zinazidi kuchukua nafasi kila kukicha, leo August 2 2016 klabu ya Man City ya England imetangaza kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji ambaye pia ana uwezo wa kucheza nafasi ya winga Leroy Sane kutoka Schalke 04. Man City wanaofundishwa na kocha wao Pep Gurdiola wamethibitisha kumsajili Leroy Sane kutoka Schalke 04 […]

The post DONE DEAL: Pep Guardiola kasajili staa mpya Man City appeared first on millardayo.com.

Kilichojiri leo mahakamani kuhusu kesi ya Tundu Lissu

$
0
0

JJJJJ

August 02 2016 Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es salaam imetangaza tarehe 28 August 2016 kuwa ndio siku itakayoanza kusikiliza kesi inayomkabili mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu baada ya kupata maelezo ya tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi dhidi ya Rais John Pombe Magufuli. Akisomewa maelezo ya awali na Hakimu wa mahakama hiyo Yohana Yongolo Inadaiwa […]

The post Kilichojiri leo mahakamani kuhusu kesi ya Tundu Lissu appeared first on millardayo.com.


VIDEO: Sheria yapitishwa wanafunzi kuingia na bunduki madarasani Texas

$
0
0

TEXAS8

Kituo kikubwa cha habari BBC kimetaja mji wa Texas nchini Marekani kupitisha sheria ya wanafunzi wenye umri kuanzia miaka 21 kuruhusiwa kuingia na silaha aina ya bunduki madarasani vyuoni kwao, sababu kubwa walizozitoa ni kuelezea juu ya matukio 12 ya kupigwa risasi yaliotokea kwenye vyuo vya marekani  kwa mwaka 2016. Texas imekuwa mji wa 8 kwa vyuo vyake kupitishwa sheria […]

The post VIDEO: Sheria yapitishwa wanafunzi kuingia na bunduki madarasani Texas appeared first on millardayo.com.

AUDIO: Mke adaiwa kumtoroka mumewe na kuhamia kwa msanii wa Bongo Fleva

$
0
0

bob 33

July 11 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM, Geah Habib amekutana na hii ya inayomuhusu msanii kutoka bongoflevani Bob Junior kulalamikiwa na kijana mmoja ambaye anadai mke wake amemtoroka na kumuachia watoto wadogo. Kijana huyo amesema ameamua kwenda kituo cha polisi osterbay kushtaki kwa sababu anamuona mkewe katika mitandao ya kijamii akiwa ameposti picha na Bob junior. millardayo.com imekurekodia […]

The post AUDIO: Mke adaiwa kumtoroka mumewe na kuhamia kwa msanii wa Bongo Fleva appeared first on millardayo.com.

VIDEO: Jux kayaongea ya moyoni kuhusu EX wake Jack Cliff

$
0
0

AS33

December 2013 zilitoka stori kwamba Mtanzania Jackie Cliff ambae ni mrembo aliekuwa na uhusiano na msanii wa Bongo Fleva Jux  amekamatwa na dawa za kulevya huko China. Sasa najua ni muda mrefu sana mpaka Jux kuingia kwenye headlines zingine za kuwa na uhusiano na Vanessa Mdee lakini hapa ameipa heshima Ayo TV na millardayo.com kuhusu […]

The post VIDEO: Jux kayaongea ya moyoni kuhusu EX wake Jack Cliff appeared first on millardayo.com.

VIDEO: Maamuzi ya mwisho ya Kesi Mbunge Nassari na wenzake yametolewa leo Arusha

$
0
0

NASSARI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewaachia huru madiwani 29 na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya uharibifu wa mali baada ya upande wa mashtaka kuondoa shauri hilo mahakamani. Hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo Desidery Kamugisha ameamua kufuta shauri hilo chini ya kifungu cha  91 baada ya upande wa Jamhuri ukiwakilishwa […]

The post VIDEO: Maamuzi ya mwisho ya Kesi Mbunge Nassari na wenzake yametolewa leo Arusha appeared first on millardayo.com.

Mohammed Dewji ametimiza ahadi yake ya kwanza Simba SC leo August 2 2016

Viewing all 31461 articles
Browse latest View live