Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all 31461 articles
Browse latest View live

Walichokisema wazazi wa wasichana waliotekwa Nigeria.

$
0
0

Wazazi wa wasichana waliotekwa nyara nchini Nigeria wamekanusha madai kuwa wanaingiza siasa kwenye kilio chao kuitaka serikali ya nchi hiyo iwaokoe watoto wao. Hii ni baada ya wazazi hao kukataa wito wa kukutana na rais Goodluck Jonathan hapo jana baada ya kushinikizwa na mwanaharakati mdogo kutoka Pakistan Malal Yousafzai. Rias Jonathan amesema ni aibu kubwa...

The post Walichokisema wazazi wa wasichana waliotekwa Nigeria. appeared first on TZA_MillardAyo.


Jinsi wezi walivyoiba njia ya reli Afrika Kusini.

$
0
0

Wezi wa vyuma chakavu nchini Afrika kusini wameiba takribani kilomita 10 za reli ya mizigo inayotumika na kusababisha uharibifu wa takribani dola milioni 2.3. Kipande cha reli hiyo kilichoharibiwa vibaya kimesababishwa na wezi waliotekeleza uhalifu huo miezi kadhaa iliyopita kutoka sehemu inayosafirisha treni kutoka mji wa Johannesburg hadi Nigel, ambapo wanaume watano wamefikishwa mahakamani baada...

The post Jinsi wezi walivyoiba njia ya reli Afrika Kusini. appeared first on TZA_MillardAyo.

Hivi ndivyo Shetta alivyoogeshwa July 16 kwenye futari iliyoandaliwa na THT.

$
0
0

Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kiboko pengine kutokana na sehemu aliyokuwepo. Shetta alihudhuria futari iliyoandaliwa na Tanzania House of Talent [THT] sasa baada ya watu kufuturu tu na yeye kuingia wakamwita pembeni kama wanaongea nae kilichofuata hapo sasa ni maji tu....

The post Hivi ndivyo Shetta alivyoogeshwa July 16 kwenye futari iliyoandaliwa na THT. appeared first on TZA_MillardAyo.

Mabibi na mabwana nakualika kusikiliza na kutazama video mpya ya Linah – Ole Themba.

Namna Mastar kadhaa wa Tanzania walivyofuturu pamoja THT July 16.

$
0
0

Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni mweiz unaotumiwa na Waislamu kutubu makosa na kumuomba Mwenyezi Mungu aweke wepesi kwenye kila hatua waipigayo ingawa pia hutumiwa na Waislamu kadhaa kufutulisha. Kituo cha THT leo kimefuturisha Waislamu mbalimbali waliopata nafasi ya kuhudhuria futari hii ambayo iliandaliwa na taasisi hiyo kwa Waislamu wote,miongoni mwa Waislamu hao ni pamoja na...

The post Namna Mastar kadhaa wa Tanzania walivyofuturu pamoja THT July 16. appeared first on TZA_MillardAyo.

Magazetini leo July 17 2014

$
0
0

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo. Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga...

The post Magazetini leo July 17 2014 appeared first on TZA_MillardAyo.

Nimekurekodia Magazeti mtu wangu yakisomwa Redioni leo July 17.

Kesi ya Mbasha imesomwa tena leo na hiki ndicho kilichoamuliwa na Mahakama

$
0
0

Mume wa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Frola Mbasha,Mr.Emanuel Mbasha leo amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashtaka mawili yanayo mkabili ya ubakaji. Katika kesi hiyo inayoendeshwa na Hakimu Wilbert Luago,amelazimika kuhairisha kesi hiyo kwa muda wa nusu saa kwa hoja aliyoitoa Mbasha kwamba ana wakili wa kumtetea lakini alishindwa...

The post Kesi ya Mbasha imesomwa tena leo na hiki ndicho kilichoamuliwa na Mahakama appeared first on TZA_MillardAyo.


Kuhusu mtoto aliyepotea kwenye mazingira ya kutatanisha Dar es salaam.

$
0
0

Taarifa ya mtoto Marry ambaye kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii zimetolewa picha zake na maandishi ya kuwa amepotea kwenye mazingira ya kutatanisha na baadhi ya watu walisema kuwa walimuona amechukuliwa na mtu akawa anaelekea maeneo ya kanisa la Assemblies, Changanyikeni akiwa amepakiwa kwenye boda boda mpaka sasa hivi mtoto hajaonekana. Sasa Gea Habib na idara...

The post Kuhusu mtoto aliyepotea kwenye mazingira ya kutatanisha Dar es salaam. appeared first on TZA_MillardAyo.

Hawa ndiyo wanaosemekana kugombana,kisa kikiwa ni Mo Music.

$
0
0

Kama mfatiliaji wa muziki wa Tanzania jina la Mo Music haliwezi kujirudia mara mbili bila kumtambua,singo yake ya Basi Nenda imemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutambulika mikoa mbalimbali ya Tanzania. Leo ameingia kwenye meza ya mhariri Soudy Brown baada ya kusemekana kugombaniwa na Ney Lee pamoja na Mtangazaji wa kituo cha Radio,Ney Lee pamoja na...

The post Hawa ndiyo wanaosemekana kugombana,kisa kikiwa ni Mo Music. appeared first on TZA_MillardAyo.

Jinsi mtoto wa miaka sita alivyobakwa shuleni nchini India.

$
0
0

Polisi Kusini mwa India wameandikisha kesi ya ubakaji ambapo inadaiwa kuwa mtoto wa shule mwenye umri wa miaka 6 alibakwa na wafanyakazi wawili wa shule moja maarufu mjini Bangaloer. Uhalifu huo unadaiwa kutekelezwa wiki mbili zilizopita. Mtoto huyo alibakwa na mlinzi pamoja na mwalimu, lakini kwa sababu ya kuwepo walinzi wengi katika shule hiyo, polisi...

The post Jinsi mtoto wa miaka sita alivyobakwa shuleni nchini India. appeared first on TZA_MillardAyo.

Sentensi 4 alizoziongea Ally Kiba kuhusu Diamond Platnumz.

$
0
0

Mtaani kumekua na stori nyingi sana zinazowahusisha mastar kutoka Kigoma Ally Kiba pamoja na Diamond Platnumz na maneno mengi yamekua ni kuhusu uhusiano wao kama wanamuziki. Wengi wao wanasema kuwa Ally Kiba na Diamond Platnumz wana Bifu na kama lipo watu wanatamani kujua chanzo cha hilo bifu na kwa sasa kama wana mpango wowote wa...

The post Sentensi 4 alizoziongea Ally Kiba kuhusu Diamond Platnumz. appeared first on TZA_MillardAyo.

Kampuni ya Microsoft inavyojiandaa kupunguza ajira elfu 18 za wafanyakazi wake.

Unamkumbuka Rapa aliyejikata sehemu za siri?kaja na hii mpya.

$
0
0

Mwezi April ilisambaa stori juu ya mwanamuziki wa Hip Hop Andre Johnson kujikata sehemu zake za siri ambapo stori hiyo iliripotiwa na vyombo kadhaa duniani lakini mbali na kujikata sehemu hizo alijirusha kutoka juu ya jumba moja mjini Los Angeles. Ukubwa wa stori hii umefanya wadau mbalimbali wa vyombo vya habari kutaka kufahamu sababu za...

The post Unamkumbuka Rapa aliyejikata sehemu za siri?kaja na hii mpya. appeared first on TZA_MillardAyo.

Taarifa mpya juu ya ndege nyingine ya Malaysia iliyoanguka Ukraine.

$
0
0

Ndege ya Malaysia iliyokuwa imebeba abiria 295 ndani yake imeanguka Mashariki mwa Ukraine ikitokea Amsterdam kwenda Kuala Lumpur, kufuatia tuhuma kuwa ilitunguliwa. Miili kadhaa ya watu imesambaa katika eneo ilipoanguka ndege hiyo karibu na kijiji cha Grabovo, kinachodaiwa kushikiliwa na waasi. Ndege hiyo ya MH17 ilikuwa inakaribia kuingia katika ardhi ya Urusi wakati ilipopoteza mawasiliano....

The post Taarifa mpya juu ya ndege nyingine ya Malaysia iliyoanguka Ukraine. appeared first on TZA_MillardAyo.


Kurasa za mwanzo na mwisho Magazetini leo Ijumaa July 18 2014

$
0
0

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo. Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga...

The post Kurasa za mwanzo na mwisho Magazetini leo Ijumaa July 18 2014 appeared first on TZA_MillardAyo.

Hapa kuna dakika 19 za kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti July 18.

Tathmini ya ajali za barabarani kuanzia January mpaka June 2014 hii hapa.

$
0
0

Kamanda wa Polisi Kikosi cha usalama Barabarani Dcp Mohameed Mpinga katoa tathmini ya ajali za Barabarani kuanzia Mwezi Januaary mpaka June ikiwa n i kipindi cha nusu mwaka na hivi ndivyo hali ilivyo.   TATHIMINI YA MATUKIO YA AJALI ZA  BARABARAN JAN-JUNE 2013/2014   Takwimu zinaonyesha kuwa juhudi zetu zimefanikiwa kwa kupunguza ajali na majeruhi,...

The post Tathmini ya ajali za barabarani kuanzia January mpaka June 2014 hii hapa. appeared first on TZA_MillardAyo.

Kuanzia July 18 hadi 24 hizi ndizo movie zitakazoonyeshwa kwenye theater

Kuhusu tukio la Jamaa aliyempasua kichwa mtoto kisha kula ubongo wake.

$
0
0

Asubuhi ya July 18 kutoka Moshi zilitoka taarifa za mfanyakazi wa ndani wa kiume [Houseboy] kumpasua kichwa mtoto mdogo wa darasa la 3 kisha ubongo wake kuamua kuutafuna. Baada ya kumaliza tukio hilo kilichofuata ni yeye kujikata sehemu zake za siri,Hapa utawasikiliza mashuhuda wa tukio hili pamoja na kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro. 87.8...

The post Kuhusu tukio la Jamaa aliyempasua kichwa mtoto kisha kula ubongo wake. appeared first on TZA_MillardAyo.

Viewing all 31461 articles
Browse latest View live