Taifa Stars imelinda rekodi ya kocha Mayanga vs Benin leo
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Jumapili ya November 12 2017 ilikuwa nchini Benin kucheza mchezo wake wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya wenyeji wao Benin, mchezo ambao unatumika katika kupanga...
View ArticleIMEFAHAMIKA: Hapa ndipo anapoishi Dr. Luis Shika, Majirani waongea (+video)
Jina la Dr. Luis Shika lilianza kupata umaarufu mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kushiriki mnada wa nyumba za Lugumi na kushinda nafasi ya kuzilipia nyumba 3 ambazo gharama zake ni zaidi ya BILIONI...
View ArticleTanzania yashinda TUZO 3 AFRIMA Nigeria, Alikiba na Nandy ndio Washindi !!
Ni siku nyingine, ni tukio jingine lililosubiriwa sana na Watanzania pia wakitaka kujua matokeo yatakuaje kwa Watanzania walioshiriki kwenye tuzo hizo za ALL AFRICA MUSIC AWARDS 2017 ( AFRIMA) Good...
View ArticleVIDEO: “Simuogopi yeyote, Lipumba ni Profesa wa ajabu kwelikweli”– MBOWE
Vyama mbalimbali vya siasa Tanzania vipo kwenye kampeni za Udiwani ambapo hii ilikua Mtwara kwenye jukwaa alisimama Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambapo pamoja na mambo mengine aligusia ishu ya...
View ArticleMagazeti ya Tanzania leo Nov. 13 Udaku, Michezo na Hardnews
Ni asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo November 13 2017 kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa IMEFAHAMIKA: Hapa ndipo...
View ArticleAyoTV MAGAZETI: Vigogo CCM, CHADEMA jino kwa jino, hatma ya Lulu kifo cha...
Kila siku asubuhi ungana na Janeth Mesomapya wa Ayo TV ili akusomee habari zote kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania ambapo leo November 13, 2017,ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini ameshazisoma...
View ArticleLeo ndio Hukumu ya Lulu inatolewa, tazama alivyoingia Mahakamani (+video)
Baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia kwenye kesi ya kifo cha Mwigizaji Steven Kanumba, leo ndio Hukumu inatolewa dhidi ya Mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” tazama hii video hapa chini...
View ArticleIMEFAHAMIKA: Hiki ndio Kijiwe cha Dr. Luis Shika anapofanyia kazi zake nyingi
Jina la Dr. Luis Shika bado lipo kwenye vichwa vya habari wakati huu ambao bado anashikiliwa na Polisi kwa kuharibu mnada wa nyumba ambao aligombania kununua nyumba za Bilioni 2 lakini akawa hana kitu...
View ArticleBREAKING: Mahakama kuu yamuhukumu Lulu kwenda Jela
Leo ndio siku ambayo Mahakama Kuu Tanzania ilikua inasubiriwa kutoa hukumu ya kesi ya kifo cha Mwigizaji Steven Kanumba ambayo ilikua inamkabili Mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” ambae alikua mpenzi...
View ArticleHamisa Mobetto ampost Lulu, amuandikia maneno 51
Hukumu ya miaka miwili aliyopewa Mwigizaji Lulu leo imegusa watu mbalimbali ambapo pamoja na kwamba wawili hawa iliwahi kuripotiwa kuwa hawana maelewano mazuri, kilichotokea leo kimemgusa Hamisa...
View ArticleZari, Rayvanny na Roma walivyoguswa na hukumu ya Lulu
Mastaa mbalimbali wameonyesha kuguswa na hukumu ya miaka miwili aliyohukumiwa Mwigizaji wa Tanzania Elizabeth Michael “Lulu” kutokana na kesi iliyokua ikimkabili ya kuua bila kukusudia, ukibonyeza play...
View ArticleVideoMPYA: Dada yao kina Vanessa Mdee na Mimi Mars ni Mwimbaji pia.. tazama...
Tunawafahamu Vanessa Mdee na Mimi Mars ambao ni mtu na mdogo wake na wote wanafanya muziki wa Bongofleva, leo hii millardayo.com inamtambulisha Dada yao ambae ni mkubwa kwao ambae anafanya muziki...
View ArticleTume ya Uchaguzi yatangaza yafuatayo uchaguzi wa Udiwani (+video)
Tume ya Taifa ya uchaguzi imefanya mkutano wake na vyama vya siasa kuelekea uchaguzi mdogo wa madiwani November 26 2017 ambao Watanzania wataopiga kura ni laki 3 na Elfu 33 ambapo Vyama 12...
View ArticleIdris Sultan ashindwa kuvumilia, aweka post 3 baada ya Hukumu ya Lulu
Tumeona kila mmoja akiandika kwa namna yake baada ya Mwigizaji Lulu kuhukumiwa miaka miwili jela November 13 2017 ambapo Idris Sultan ni mmoja wa waliojitokeza na kuonyesha hisia zao baada ya hukumu...
View ArticlePatrice Evra akivuta gari kwa mikono na kutoa maneno baada ya kufungiwa na UEFA
Shirikisho la soka Ulaya UEFA Ijumaa ya November 10 2017 lilitangaza kumuadhibu beki wa kimataifa wa Ufaransa anaeichezea Olympique Marseilleya Patrice Evra kwa kosa la kumpiga Shabiki wao wakiwa Ureno...
View ArticleKijana wa miaka 25 aliyeshinda Bajaj kutoka SportPesa
Kampuni ya michezo ya ubashiri ya SportPesa bado inaendelea na utaratibu wake wa kuwashukuru wateja wao na watanzania kwa kuwapokea vizuri na wanaendelea kutoa Bajaj mpya kwa wateja wao. Kijana Dotto...
View ArticleMagazeti ya Tanzania leo Nov. 14 Udaku, Michezo na Hardnews
Ni asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo November 14 2017 kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa IMEFAHAMIKA: Hapa ndipo...
View ArticleAyoTV MAGAZETI: Mama Kanumba ashukuru Lulu kufungwa jela, Vita mpya kati ya...
Karibu AyoTV, kila alfajiri unasomewa habari kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania ambapo cha kufanya ni kubonyeza ‘SUBSCRIBE‘ ili uwe unapata notification kila habari mpya inapopanda… bonyeza hapa...
View Article“Kifo cha Kanumba ni kikubwa kuliko hukumu ya Lulu”– ROSE NDAUKA
Mwigizaji wa Filamu Tanzania Rose Ndauka amedai kuwa kifo cha Kanumba ni kikubwa kuliko Hukumu ya kuua bila kukusudia aliyopewa Mwigizaji Lulu ambapo ameyazungumza hayo kwenye Exclusive Interview na...
View ArticlePolisi waongea ilivyokua mpaka wakamuachia Dr. Luis Shika leo
Tumemsoma sana kwenye vichwa vya habari kuanzia wiki iliyopita baada ya kwenda kwenye mnada wa nyumba za mabilioni na kushinda nafasi ya kununua nyumba 2 za zaidi ya Bilioni 2 lakini baadae akakamatwa...
View Article