Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Baada ya video ya Jux na Snura,hii ndiyo video nyingine ya Bongo iliyofungiwa.

$
0
0

Mwanzoni mwa mwaka 2014 kumeripotiwa video kadhaa za Tanzania kufungiwa huku sababu kubwa ikiwa haijatajwa moja kwa moja,miongoni mwa watu waliofungiwa video zao ni pamoja na Jux ‘Uzuri wako’ na video ya Snura ‘Nimevurugwa’. Millardayo.com iliwahi kwenda Basata kujua taratibu zinazopelekea kufungiwa kwa video hizo ili kujua pia vigezo vinavyotumika kufungia video hizo,Basata walisema wao...

The post Baada ya video ya Jux na Snura,hii ndiyo video nyingine ya Bongo iliyofungiwa. appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles