Jobanjo ni producer pia ambaye mikono yake imehusika kuzisuka ngoma kubwa za bongofleva ikiwemo ‘shikorobo‘ na ‘namjua‘ za Shetta, hapa kashirikishwa na Rummy kwenye single mpya iitwayo ‘tucheze‘ Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze […]
The post VideoMPYA: Bongofleva inayo nyingine ya Rummy na Jobanjo ‘tucheze’ appeared first on MillardAyo.Com.