Stori kubwa imeenea kwenye mitandao ambayo huenda hujabahatika kukutana nayo leo ni kuhusiana na fumanizi lililofanywa na askari polisi katika gari ambapo watu wawili wamekutwa wakifanya mapenzi mchana wa jua kali. Mitandao ya Zimbabwe imeandika kuhusiana na mchungaji Novert Chivese kukutwa akifanya mapenzi na mke wa afisa wa polisi msituni. Stori ni kwamba, baada ya...
The post Headline nyingine ya fumanizi msituni, hii inahusu Mchungaji na mke wa afisa wa Polisi.. appeared first on TZA_MillardAyo.