Dudubaya ni miongoni mwa Wasanii wa longtime kwenye ukoo wa bongofleva ambapo pamoja na yote anayoyafanya, anakiri kwamba amekua akifatilia sana muziki huu na Wasanii wenyewe huko mtaani ndio maana hasiti kutoa maoni yake kuhusu mienendo ya baadhi ya Wasanii kwa sasa. Kwenye Exclusive na AyoTV Dar es salaam Dudubaya ametoa ya moyoni kuhusu ishu...
The post Dudubaya on @AyoTV kuhusu Ali Kiba na Diamond, wasanii kutembea na bodyguard, uchawi na mengine appeared first on TZA_MillardAyo.