Ni jioni iliyowakusanya watu wengi ambao walikuja kwa ajili ya kuona namna brother kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Dr.Cheni anavyosherehekea siku yake ya kuzaliwa ambayo ni July 20. Mastar kadhaa kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva walikusanyika kumpongeza Dr.Cheni kwenye siku yake hii ambayo kwake kaitumia kuwafuturisha wote waliohudhuria kisha ikafata kula keki kwa kila...
The post Hivi ndivyo Dr.Cheni alivyosherehekea siku yake ya kuzaliwa July 20. appeared first on TZA_MillardAyo.