Kupitia You heard ya leo March 18 Soud Brown ana-amplify taarifa za kuwekwa mahabusu Belle Nine kisa kikiwa ni kuchukua pesa za show kisha kutotokea kwenye show hiyo ambayo ilikuwa ifanyike Mafinga Mkoani Iringa. 96.0 sikiliza Clouds Fm ukiwa Tanga Bonyeza play kusikiliza. Use Facebook to Comment on this Post
The post Umesikia kilichomkuta Belle Nine Mafinga?sikiliza hapa. appeared first on TZA.